MABASI YA MWENDOKASI YATOA HUDUMA BURE KWA SIKU YA PILI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 4, 2018

MABASI YA MWENDOKASI YATOA HUDUMA BURE KWA SIKU YA PILI

DAR: MABASI YA MWENDOKASI YATOA HUDUMA BURE KWA SIKU YA PILI, chanzo cha hali hiyo inadaiwa kuwa ni mgomo wa wahudumu wa kitengo cha tiketi
Inadaiwa kuwa wahudumu hao wanadai malimbikizo ya madeni yao tangu wakiwa chini ya Kampuni ya Max Malipo(Maxcom)
Vituo vikubwa vya Kimara, Ubungo, Morocco na Kivukoni hakuna msongamano wa abiria kama ilivyozoeleka

DAR: Mabasi ya Mwendokasi yatoa huduma bure kwa siku ya pili, chanzo cha hali hiyo inadaiwa kuwa ni mgomo wa wahudumu wa kitengo cha tiketi
Inadaiwa kuwa wahudumu hao wanadai malimbikizo ya madeni yao tangu wakiwa chini ya Kampuni ya Max Malipo(Maxcom)
Vituo vikubwa vya Kimara, Ubungo, Morocco na Kivukoni hakuna msongamano wa abiria kama ilivyozoeleka
Na Amos C Nyanduku

Loading...

No comments: