Mkuu wa Wilaya ya Iringa Atoa Ratiba Kamili ya Msiba - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 4, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Atoa Ratiba Kamili ya Msiba


Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema maziko ya Maria na Cosnolatha yatafanyika siku ya Jumatano katika makaburi ya Mapadri yaliyopo katika eneo la Tosamaganga.

Na Amos C Nyanduku
Loading...

No comments: