PICHA: Hivi ndivyo moto ulivyoteketeza Jengo Kariakoo - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 13, 2018

PICHA: Hivi ndivyo moto ulivyoteketeza Jengo Kariakoo


Moto umezuka katika jengo lililopo mtaa wa Livingstone na Aggrey. Muungwana Blog imefika eneo la tukio na hizi ni picha za tukio lenyewe.Jengo lenye maduka na ghara la kuhifadhiwa bidhaa mbalimbali linateketea kwa moto mtaa wa Agrey na Livingstone jiji Dar es salaam  ambapo mpaka sasa jitihada za kuzima zinaendelea.


Askari wa zimamoto wakiwa juu ya jengo wakijitahidi kuzima moto ambao unawaka kariakooAskari wa Jeshi la zima moto wakifanya jitihada za kuzima moto ambao ulikuwa ukiteketeza jengo kariakoo

Baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio la kuungua moto kariakoo.
PICHA KWA HISANI YA MUUNGWANA BLOG
Loading...

No comments: