Senegal Yaanza Vizuri Kombe La Dunia, Yaichapa Poland 2-1 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 20, 2018

Senegal Yaanza Vizuri Kombe La Dunia, Yaichapa Poland 2-1


Jana Senegal imekuwa timu ya kwanza toka Afrika  kushinda katika mchezo wake wa kwanza  kombe la dunia dhidi ya Poland kwa goli 2-1

Senegal ilikuwa ya kwanza kupata goli dakika ya 37 ya mchezo kupitia kwa Thiago Cionek na dakika ya 60 Mbaye Niang aliifungia Senegal goli la pili lililodumu hadi dakika ya 86 ambapo poland waliandika goli la kufutia machozi lililofungwa na Grzegorz Krychowiak.

Senegal inakuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo wake wa ufunguzi baada ya wawakilishi wengine kufungwa katika mchezo yao .Tunisi alifungwa na England 2-1,Nigeria akafungwa na Croatia 2-0,  na Morroco alifungwa na Iran 1-0.
Loading...

No comments: