Uingereza Yawaliza Tena Waafrika.....Ni Baada ya Kuitandika Tunisia Bao 2-1 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, June 19, 2018

Uingereza Yawaliza Tena Waafrika.....Ni Baada ya Kuitandika Tunisia Bao 2-1
Timu ya taifa ya  Uingereza imeibuka na udhindi wa goli 2-1 dhidi ya Tunisia.

Harry Kane wa Uingereza ndiye aliyepeleka kilio Tunisia kwa kufunga magoli yote mawili goli la kwanza dakika ya 11 na la pili dakika ya 90 kwa kichwa akiunganisha mpira wa kona.

Goli la Tunisia lilifungwa na Ferjani Sassi kwa penati na ndiyo goli pekee la timu za Afrika kufungwa tangu pazia la kombe la dunia kufunguliwa mwaka huu.

Timu nne za Afrika zimecheza na hamna hata moja iliyoshinda . Senegal atacheza   Leo Juni 19 na Japani.

Loading...

No comments: