Ujenzi wa daraja la juu la treni ya umeme (SGR) Ilala, Dar es salaam - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 25, 2018

Ujenzi wa daraja la juu la treni ya umeme (SGR) Ilala, Dar es salaam
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika zilizothubutu kujikita katika kuboresha miundombinu ya anga, barabara, reli na maji. Tangu awamu ya tano ya Raisi Magufuli alipoingia madarakani, amekuwa akisisitiza juu ya dhamira yake katika kuhakikisha kuwa Tanzania inakua na uchumi wa kati kwa kuboresha miundombinu mbalimbali ambayo ni moja ya kichocheo kikubwa cha maendeleo ya nchi katika uchumi wa viwanda. 

Katika kutekeleza hilo serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani imeanza ujenzi wa reli ya mwendokasi (SGR) itakayotoka Dar es salaam - Morogoro - Dodoma. Mradi huo unasimamiwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na inafanya na Kampuni ya Yapi Merzeki kutoka Uturuki.


Hadi sasa tayari nguzi 15 kati ya 100 zinazotakiwa kusimikwa kutoka eneo la Stesheni Dar es salaam zimeshasimikwa na kazi inaendelea. Ili kufuatilia ujenzi wa reli hiyo usikose kutembelea YOUTUBE CHANNEL maalumu ya TRC inayoweka maendeleo yote ya mradi huo jinsi unavyoendelea (Fuatilia hapo juu)
DYOfIOFX4AAlbDz
Muonekano wa moja ya vituo vya treni vitakavyojengwa kwenye mradi huo wa SGR kutoka Morogoro hadi Makutupora
DYOfIPnWkAEiFRC


hgh
Muonekano wa moja ya mahandaki ya njia za treni yatakayojengwa kwenye mradi wa awamu ya pili ya SGR kutoka Morogoro hadi Dar es Salaam
IMG_20170930_092427
IMG_20170930_092624
Muonekano wa daraja la juu la treni ya umeme 
Loading...

No comments: