VIDEO ;Diamond awa kivutio katika show ya DAVIDO usiku wa jana Jijini Dar es salaam

DIAMOND

Usiku wa June 16, 2018 muimbaji kutokea Nigeria Davido alifanya show katika Ukumbiwa Next Door Arena ulipo Dar es Salaam ambapo aliambata na wasanii wanao fanya muziki wa bongofleva ambao ni Ruby, Nandy, The Mafik, Aslay na wegine.

Lakini Moja ya Jambo ambalo halikutegemewa na mashabiki ni kumuona msanii Diamond Platnumz akipanda kwenye stage moja na Davido tena waki-perform wimbo wa Number one Remix, wimbo ambao Diamond aliwai kumshiirikisha Davido kipindi cha Nyuma.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa
VIDEO KWA HISANI YA AYO TV
SUBCRIBE KONCEPT TV KUPATA LIVE UPDATES KUTOKA URUSI #KOMBE LA DUNIA 

Post a Comment

0 Comments