Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini Wapatikana - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 20, 2018

Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini Wapatikana

Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

IMG_8497
 Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya Kaskazini, Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Milioni moja kwa mshindi wa Pili, Kanda ya Kaskazini wa Promosheni iliyowahusisha Mawakala mtandao wa Tigo kupitia Tigo Pesa, Justin Mbazi kutoka wilaya ya Same.
IMG_8511
 Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya Kaska,zini, Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Laki tano kwa mshindi wa tatu. Kanda ya Kaskazini wa Promosheni iliyowahusisha Mawakala mtandao wa Tigo kupitia Tigo Pesa, Vaileth Mkala.
IMG_8548
Washindi wa Promosehni ya Mawakala wa Mtandao wa Simu za Mkononi ya Tigo kupitia Tigo Pesa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Tigo mara baada ya kukabidhiwa mifano ya Hundi baada ya kujishindia zawadi za Pesa katika Promosehini hiyo.

Loading...

No comments: