WASHINDI WA MAWAKALA WA TIGO PESA NYANDA ZA JUU KUSINI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 22, 2018

WASHINDI WA MAWAKALA WA TIGO PESA NYANDA ZA JUU KUSINI

Meneja wa Tigo kanda za nyanda za juu kusini, Davis Kisamo (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi kwa Abeid Bathromeo  wa Ilula Iringa Mshindi wa shindano la mawakala la uwekaji miamala kwa wingi ndani ya mwezi mmoja kwenye huduma ya Tigopesa aliyeshinda zawadi ya shilingi milioni 2 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Meneja wa Tigo Nyanda za Juu Kusini, Devis Kisamo katikati pichani akikabidhi mfano wa Hundi kwa washidi shindano la mawakala wa TIGO PESA nyanda za juu kusini kwenye hafla iliyofanyika mjini Iringa mwishoni mwa wiki.

Heriy Ngesi kutoka kyela Mbeya  Mshindi wa shindano la mawakala la uwekaji miamara kwa wingi ndani ya mwezi mmoja kutoka kampuni ya Tigo Tanzania alkiibuka mshi wa Ml.1
No comments: