Watanzania waipongeza Serikali kwa kuboresha eneo la fukwe ya bahari Ocean Road - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 25, 2018

Watanzania waipongeza Serikali kwa kuboresha eneo la fukwe ya bahari Ocean Road

11
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi kwenda kupunga upepo eneo la pembezoni mwa Bahari, Ocean Road. Hatua hiyo imefuatia baada ya fukwe hiyo kufanyiwa matengenezo ya maeneo ya kupumzikia kuwekwa sehemu za kukaa na kingo za bahari ambazo zimekuwa ni kivutio kikubwa kwa watu wengi.
Moja ya wadau wakubwa wa mitandao ya kijamii Kennedy Daima Mmari ametumia mtandao wa Twitter kutoa pongezi hizo kupitia kwa Waziri wa Mazingira, Ndugu January Makamba kuonesha furaha yake alipotembelea eneo hilo la fukwe.

Loading...

No comments: