![]() |
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka taasisi na mashirika mbali mbali pamoja na wananchi wakishiriki katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ijulikanayo kama Furaha Yangu iliyofanfyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa.
![]() |
Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa (wa pili toka kulia) akipokea ngao ya heshima kutoka kwa mawaziri kuanzia kushoto, Selemani Jafo (TAMISEMI), Jenista Mhagama (Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu) na Ummy Mwalimu (Afya) kulia kabisa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ijulikanayo kama Furaha Yangu iliyofanfyika katika uwanja wa Jamhu
No comments:
Post a Comment