Waziri Mkuu DRC Ametangaza Rais Kabila Kutogombea Tena Urais - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 13, 2018

Waziri Mkuu DRC Ametangaza Rais Kabila Kutogombea Tena Urais


Waziri Mkuu DRC Ametangaza Rais Kabila Kutogombea Tena Urais
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bruno Tshibala amesema rais Jospeh Kabila hatawania tena urais, wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi December.

Tshibala, amesema kuwa Kabila ambaye muhula wake ulikamilika mwaka 2016, ataheshimu Katiba.

Hata hivyo, wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakisema, wanamtaka rais Kabila mwenyewe kutanagza kuwa hatawania tena na kwenda kinyume na katiba ya nchi hiyo 
Loading...

No comments: