YANGA ILIYOCHUANA NA KAKAMEGA BOYS, SPORTPESA CUP NAKURU, KENYA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, June 3, 2018

YANGA ILIYOCHUANA NA KAKAMEGA BOYS, SPORTPESA CUP NAKURU, KENYA


Timu ya Yanga imeaga kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup inayoendelea nchini Kenya baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Kakamega Boys kwenye mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Ifraha nchini Kenya.
Hii ina maana kuwa Yanga imeaga michuano hiyo baada ya kucheza mchezo mmoja tu, Simba wenyewe watacheza kesho kutafuta ushindi kwenye michuano hiyo Namna matukio katika picha yalivyokuwa katika mchezo wa Yanga dhidi ya Kakamega Boys, mashindano ya SportPesa Super Cup nchini Kenya.
Na Amos C Nyanduku

Loading...

No comments: