Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa, bado magari sita yasubiri washindi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, July 12, 2018

Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa, bado magari sita yasubiri washindi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari  mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari' ,mkazi wa Nzuguni  nje kidogo ya Jiji la Dodoma  Aloyce Mnyamagola  baada ya kushinda, sherehe  za kukabidhi zawadi  zilifanyika jana Jijini hapa.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari  mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari' ,mkazi wa Nzuguni  nje kidogo ya Jiji la Dodoma  Aloyce Mnyamagola  baada ya kushinda, sherehe  za kukabidhi zawadi  zilizofanyika jana Jijini hapo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa wateja Vodacom Bi Harriet Lwakatare.

Mshindi wa gari  aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola akifungua mlango wa gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, wanaoshuhudia ni maofisa mbalimbali kutoka Vodacom

Mshindi wa gari  aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola akiwa amepozi katika   gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, 
Mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola mkazi wa Nzuguni Jijini Dodoma akikagua gari alilokabidhibiwa Jijini  Dodoma baada ya kushinda katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari

Mshindi wa Shilingi milioni 1ya shindano la Vodacom Mpesa Japhet Isaya Mkazi wa Hombolo Mkoani Dodoma akipokea hundi hiyo jana katika sherehe za kukabidhi zawadi kwa washindi wa Kanda ya kati zilizofanyika Jijini Dodoma jana

Loading...

No comments: