Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, July 10, 2018

Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg John Pombe Joseph Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi kinachofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 10th July, 2018.


==
Loading...

No comments: