RAIS MAGUFULI AWAAPISHA BALOZI SOKOINE NA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA


Rais John Magufuli leo amewaapisha Balozi Joseph Sokoine kuwa Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Phaustine  Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.
Akihutubia baada ya kuwaapisha Magufuli amekiri kuwa kulikuwa na changamoto katika uteuzi wa kamishna jenerali huku akisema katika wote waliokuwepo walikuwa na sifa za kuteuliwa.
Hata hivyo Magufuli amesema wafungwa wanatakiwa kufanya kazi kutokana na ni moja ya kazi hiyo ndio maana wakaitwa wafungwa .
Amos C Nyanduku

Post a Comment

0 Comments