RC MAKONDA ATENGUA KIPENGELE CHA MADUKA KUFUNGWA SIKU YA JUMAMOSI KWAAJILI YA USAFI. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, July 6, 2018

RC MAKONDA ATENGUA KIPENGELE CHA MADUKA KUFUNGWA SIKU YA JUMAMOSI KWAAJILI YA USAFI.

LEO  ametangaza rasmi kutengua kipengele kilichokuwa kikiwataka wafanyabiashara kufunga maduka siku Jumamosi hadi Saa nne asubuhi kwaajili ya usafi na badala yake jukumu amelikabidhi kwa zaidi ya Vijana 4,000 wa JKT na Mgambo ambao watawakamata na kuwatoza faini wafanyabiashara watakaokaidi kufanya usafi.

Na Amos C Nyanduku
Loading...

No comments: