Sergio Ramos achukua jiko baada ya miaka sita ya uchumba (+Picha) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, July 18, 2018

Sergio Ramos achukua jiko baada ya miaka sita ya uchumba (+Picha)


Sergio Ramos achukua jiko baada ya miaka sita ya uchumba (+Picha)

Nyota wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos ameamua kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu, Pilar Rubio.
Sergio Ramos and fiancee Pilar Rubio show off huge rock after proposal at romantic dinner
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Hispania ameamua kumuoa mwanadada, Pilar Rubio ambaye ni mtangazaji wa Tv nchini Hispania baada ya kudumu naye kwa miaka sita.
The pair share a selfie during their summer holiday and become engaged after six years
Ramos ameposti picha kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram zinazoonyesha tukio hilo huku kukiwa na ujumbe unao sema kuwa ”Amesema ndiyo. Nakupenda milele.”
Ramos shares photos on his Instagram story with fiancee Rubio during their romantic dinner
Mahusiano ya Ramos na mtangazaji huyo wa Tv, Rubio yalianza toka mwaka 2012. Rubio mwenye umri wa miaka 40 alikuwa ‘model’ lakini pia alishawahi kushinda tuzo ya mtangazaji bora huku miaka michache iliyopita amewahi kufanya kazi ya uchekeshaji kwenye ‘show’ iliyojulikana kama, El Hormiguero.
Sergio Ramos poses alongside now fiancee, Pilar Rubio, during a sunny family holiday
Mpaka sasa wawili hao wana watoto watatu watoe wakiwa wote wakiume wakati mkubwa akizaliwa mwaka 2014 na kupewa jina la Sergio na wawili wa mwisho ni Marco na  Alejandro.
The pair are joined for a photo by two of their three sons, Sergio Ramos Jnr and Marco
Loading...

No comments: