Vodacom Tanzania Plc yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Milioni 290 za Tusua Mapene. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, July 5, 2018

Vodacom Tanzania Plc yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Milioni 290 za Tusua Mapene.

Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa  kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe  mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi  290,409,580 na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) wakati wa  hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, katikati ni  afisa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada  wa kampuni hiyo Furaha Limu.

:Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51)  ambaye ni mkazi wa  kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe  mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi  290,409,580 na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia)  huku akishuhudiwa na familia yake (wa pili kutoka kulia) ni dada yake Rose Mwankemwa, Togile Sampegete na mtoto wake wa mwisho Erick Jackson wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania Plc jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  Afisa  wa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada  wa kampuni hiyo, Furaha Limu.

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mara baada ya kumkabidhi  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 mshindi mkuu wa promosheni ya Tusua mapene awamu ya kwanza, Jackson A. Mwankemwa (51)  ambaye ni mkazi wa  kijiji cha Msasani, wilayani RNGWE mkoani Mbeya.

Loading...

No comments: