Wateja wa Vodacom kurudishiwa asilimia 10 ya pesa wanunuapo simu kwa M-Pesa Sabasaba - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, July 9, 2018

Wateja wa Vodacom kurudishiwa asilimia 10 ya pesa wanunuapo simu kwa M-Pesa Sabasaba

a
 Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (wapili kulia) akimuelezea  Ezra Moshi akiwa na familia yake juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure,  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (kulia) akimuelezea  Ezra Moshi juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G iliyounganishwa ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure,  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, barabara ya Kilwa . Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195.000
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliotembelea banda la Vodacom Tanzania lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Barabara ya Kilwa  wakimsikiliza kwa makini Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (kushoto) wakati akiwafafanulia juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G iliyounganishwa ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliotembelea banda la Vodacom Tanzania Plc, lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Barabara ya Kilwa wakimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati akiwaelezea  juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G iliyounganishwa ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.

 Muonekano wa banda la Vodacom Tanzania Plc, katika banda la Vodacom Tanzania Plc, lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Barabara ya Kilwa.ambapo wananchi wanajipatia simu ya Tecno Faya ambayo nimpya kwa shiilingi 195,000.
 Muonekano wa banda la Vodacom Tanzania Plc, katika banda la Vodacom Tanzania Plc, lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Barabara ya Kilwa.ambapo wananchi wanajipatia simu ya Tecno Faya ambayo nimpya kwa shiilingi 195,000.
Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuatangaza simu  mpya ya Tecno Faya 4G iliyounganishwa ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure,  wakati walipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
Loading...

No comments: