BENKI YA CBA TANZANIA YAANDAA WARSHA KWAAJILI YA KUWAFUNDA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKATI. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 27, 2018

BENKI YA CBA TANZANIA YAANDAA WARSHA KWAAJILI YA KUWAFUNDA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKATI.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania,Dk.Gift Shoko (kulia) akizungumza na mkurugenzi wa kampuni ya Ultimate Finance,Elius Mtunguja (katikati) baada ya kufungua warsha iliyoandaliwa na benki iyo,kwaajili ya kuwafunda wafanyabiashara wadogo na wakati jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkuu wa idara ya wateja binafsi,masoko na mawasiliano CBA.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania,Dk.Gift Shoko (kulia) akisalimiana na Mkuu wa idara ya sheria za biashara (BRELA),Rehema Kitambi kabla ya kufungua warsha iliyoandaliwa na benki iyo,kwaajili ya kuwafunda wafanyabiashara wadogo na wakati jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na wakati CBA,Joyce Ndyetabura.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania,Dk.Gift Shoko akifungua warsha hiyo
Wafanyabiashara wakimskiliza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania,Dk.Gift Shoko (wa pili kushoto) wakati wa warsha hiyo
Wafanyakazi wa benki ya CBA-Tanzania, na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.

Loading...

No comments: