CCM yaibwaga Chadema jimbo la Buyungu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 13, 2018

CCM yaibwaga Chadema jimbo la Buyungu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge na madiwani katika Kata mbalimbali uliofanyika hapo jana.

Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Buyungu lililopo mkoani Kigoma, mgombea ubunge kupitia tiketi CCM, Christopher Chiza ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.

Loading...

No comments: