MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

 

02
Mshindi wa gari la tano  aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani (kushoto) Mkazi wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, akionyesha funguo za gari pamoja na kadi ya gari hilo mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
03
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (wa pili kushoto) akimpongeza mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani wakati wa hafla ya kumkabidhi  gari lake iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu. Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana na Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Jacquiline Materu. 
4
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimwelekeza namna ya kufungua mlango wa gari  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
05
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimshuhudia,  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa Salum Chande Athumani, akifungua mlango wa gari mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla  iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
06
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimuonyesha ufunguo  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani wakati wa hafla ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
08
Mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa,Salum Chande  mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (aliyekaa ndani ya gari)  akishuhudiwa na mama yake mzazi  wa pili kushoto wakati akipongezwa na  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam. 
09
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akishuhudia familia ya  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani akiwa amebebwa juu kwa furaha ya ushindi  wakati wa hafla  ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
10
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacquiline Materu akiongea wakati wa hafla ya kumkabidhi gari aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Salum Chande Athumani, iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam, wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi. Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
11
Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimshangilia mshindi wa gari la tano aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Salum Chande Athumani, wakati alipokuwa akiingia katika viwanja vya Zakhiem  jijini Dar es Salaam kukabidhiwa gari lake.
12
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (wanne kushoto)  akiwa na wafanyakazi wenzake  katika   viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumkabdhi  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani ambaye ni mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (hayupo pichani )
13
Wakazi wa maeneo ya Mbagala Kuu na viunga vyake wakiwa katika   viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumkabdhi  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani ambaye ni mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (hayupo pichani )
15

16
Mmoja wa vijana mtaalam wa kuchezea baiskeli akionesha umahili  wakati wa hafla ya kumkabidhi  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (hayupo pichani ).
17
Mshindi wa gari la tano aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani  mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (katikati) akiwa na mama yake mzazi wakipagawishwa na msanii wa Singeli Msaga Sumu  (wapili kulia) pamoja na kundi lake wakati wa  hafla  ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments