MKUU WA WILAYA YA NAMTUMBO ATAKIWA KUSHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, August 15, 2018

MKUU WA WILAYA YA NAMTUMBO ATAKIWA KUSHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE.

Mkuu wa Mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME amemtaka mkuu wa wilaya ya NAMTUMBO SOPHIA KIZIGO kuhakikisha anawashirikisha viongozi wa dini na wazee katika wilaya hiyo ili kuweka mambo sawia katika utendaji wa kazi za serikali.
Loading...

No comments: