Orodha ya Wakurugenzi Walioteuliwa na Rais Magufuli Leo - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 13, 2018

Orodha ya Wakurugenzi Walioteuliwa na Rais Magufuli Leo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 13/08/18. PICHA NA IKULU

 *********** 
RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini.

Uteuzi huo alioufanya Rais Magufuli umetangazwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.

Mabadiliko hayo ni pamoja na, uhamisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Msafiri Simion aliyehamishiwa wilayani Chato, wakati Senyi Ngaga akipelekwa Kwimba. 

==>>Hapo chini kuna Orodha ya Wakurugenzi.
Advertisement
tang
==


Advertisement
Usipit
Loading...

No comments: