Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 8, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.
Thursday, August 9, 2018
New
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Waziri wa Maliasili Dk. Khamis Kigwangalla
Loading...

About Krantz Mwantepele
Krantz Mwantepele, Founder and C.E.O of KONCEPT based in Dar es salaam Tanzania . I’m also a Serial Entrepreneur, Award winning blogger and digital media consultant.
HABARI TANZANIA
Labels:
HABARI TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment