TAWA YAANZA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KUPITIA MISS JOURNALISM TANZANIA 2018. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, August 15, 2018

TAWA YAANZA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KUPITIA MISS JOURNALISM TANZANIA 2018.

Na Mwandishi wetu
Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania"TAWA "kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania"TTB" wameanza kutangaza vivutio vya utalii katika pori la Akiba Selous na Mpanga/kipengere ambapo Miss Witness Teddy Kavumo aliteuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii tarehe 10/5/2018 kuwa Balozi wa heshima wa pori la Selous.

Mrembo huyo ameanza kwa kutembelea Kanda ya Matambwe(Selous) na kuona wanyamapori mbali mbali wakiwepo wanyama ametembelea hifadhi ya selous na kuona baadhi ya wanyamapori hadimu kama mbwa mwitu"Hunting dog".simba,tembo,viboko,twiga na kutembelea maji moto"hot spring"
 Balozi wa heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous, Miss Witness Teddy Kavumo
Simba wakiwa  eneo la Matambwe-Selous 
Miss Witness(wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na Maafisa wa TAWA ndani ya pango la Mkwawa.
 Miss Witness akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa pori la Akiba Mpanga/Kipengele.

Ndege ya Selous iliyotumika kumuonyesha Miss vivutio vya utalii kutolea angani katika pori la selous 
Miss Witness akiwa kwenye vazi la kimasai kwenye kijiji  cha Wamasai-Kisaki Kando kando ya Kanda ya Matambwe(Selous)
Balozi wa heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous, Miss Witness Teddy Kavumo akifanya  Utalii wa boat ndani ya mto Rufiji eneo la Selous
 Maporomoko ya maji-Kimani ndani ya pori la Akiba Mpanga/Kipengele
Mbwamwitu eneo la Matambwe-Selous

Loading...

No comments: