Tigo washinda cheti cha ushiriki kwenye Maonesho ya Nanenane Dodoma - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 13, 2018

Tigo washinda cheti cha ushiriki kwenye Maonesho ya Nanenane Dodoma

IMG-20180811-WA0006
Meneja Usambazaji wa Tigo Dodoma na Kondoa, Gidion Morris akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baaada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane juzi mkoani Dodoma.
IMG-20180811-WA0008
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akimkabidhi cheti cha Kipengele cha Mawasiliano Kanda ya Kati kwa Meneja Usambazaji wa Tigo, Gidion Morris kwenye sherehe ya maadhimisho ya maonesho sikukuu ya wakulima Nanenane viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma juzi.
Loading...

No comments: