UberBOAT; Kampuni ya Uber iliwaalika abiria wanotumia huduma yake kwenye party ya boti ambayo mchekeshaji Idris Sultan alikuwa mwenyeji wao - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 13, 2018

UberBOAT; Kampuni ya Uber iliwaalika abiria wanotumia huduma yake kwenye party ya boti ambayo mchekeshaji Idris Sultan alikuwa mwenyeji waoDar es Salaam, terehe 13 Agosti 2018….. Jumamosi ya tarehe 11 Agosti 2018, watumiaji 34 wa huduma ya Uber jijini Dar es Salaam walibahatika kuhudhuria party kubwa ambayo mwenyeji wake alikuwa ni Balozi wa Uber nchini Tanzania Idris Sultan.  Abiria wa Uber walipata huduma ya hadhi ya VIP kwenye boti la huduma mpya ya UberBOAT, party hiyo ilihudhuriwa pia na mchekeshaji maarufu Jaymondy.
Picha: UberBOAT ikifanya safari zake kwenye ufukwe wa Dar es Salaam
PICHA: Mchekeshaji Jamondy akiwa na abiria wa Uber wakifurahia safari yao wakati wa party ya  UberBOAT
PICHA: Mchekeshaji na Balozi wa Uber Tanzania Idris Sultan katika UberBOAT  

Picha kutoka kushoto hadi kulia: Monica Mziray Mwandamizi wa idara ya masoko Uber Tanzania, Idris Sultan Balozi wa Uber inchini Tanzania, Elizabeth Njeri  Meneja wa idara ya Masoko Uber Africa Mashariki na Davis Evans Meneja wa Uendeshaji katika Greenlight hub Uber Tanzania wakifurahia safari katika UberBOAT
Loading...

No comments: