VIDEO:NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI AWATAKA TBA MKOA WA RUVUMA KUMALIZA UJENZI WA OFISI YA MKURUGENZI MADABA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, August 15, 2018

VIDEO:NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI AWATAKA TBA MKOA WA RUVUMA KUMALIZA UJENZI WA OFISI YA MKURUGENZI MADABA

Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI JOSEPHAT KANDEGE amepiga mara fuku kwa wakala wa majengo mkoa wa RUVUMA TBA kwenda mkoa pwani kununua kokoto kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya madaba badala yake wananue mkoa wa hapo au mkoa wa NJOMBE ambapo zinapatikana kwani kufanya hivyo ni kuchelewe mradi huo .
Loading...

No comments: