WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, August 3, 2018

WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE

.com/proxy/
Wakaazi mbali mbali wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo, Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu. 
.com/proxy/
Wakaazi mbali mbali wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo, Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu. .com/proxy/
Muonekano wa Banda la Tigo katika maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Nyakabindi ulioko Halmshauri ya Mji wa Bariadi.
Loading...

No comments: