IBADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI NA UZINDUZI WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI JIMBO LA KUSINI MTAA WA MWAPEMBA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, September 10, 2018

IBADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI NA UZINDUZI WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI JIMBO LA KUSINI MTAA WA MWAPEMBA

  Waumini wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba wakiwa katika ibada ya kuwekwa jiwe la msingi wa ujenzi wa kanisa na uzinduzi wa mtaa iliyofanyika jana katika kanisa hilo lililopo Temeke jijini Dar es Salaam.

  Mkuu wa Jimbo la Kusini  wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji Andrew King’homella  akiweka  jiwe na msingi  la ujenzi wa Kanisa na uzinduzi wa  Mtaa wa Mwapemba katika ibada iliyofanyika jana kwenye kanisa hilo lililopo Temeke jijini Dar es Salaam.

  Mkuu wa Jimbo la Kusini  wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji Andrew King’homella  akifanya maombi  kabla ya kuweka  jiwe na msingi  la ujenzi wa Kanisa na uzinduzi wa  Mtaa wa Mwapemba katika ibada iliyofanyika jana kwenye kanisa hilo lililopo Temeke jijini Dar es Salaam.

Waumini wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba wakilizunguka kanisa lao huku wakiimba kabla ya kuanza kwa ibada ya kuwekwa jiwe la msingi wa ujenzi wa kanisa na uzinduzi wa mtaa iliyofanyika jana katika kanisa hilo lililopo Temeke jijini Dar es Salaam.

  Kibao cha jiwe la msingi la ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba kama kinavyoonekana katika picha.


Waumini wa Kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba wakilizunguka kanisa lao huku wakiimba kabla ya kuanza kwa ibada ya kuwekwa jiwe la msingi wa ujenzi wa kanisa na uzinduzi wa mtaa iliyofanyika jana katika kanisa hilo lililopo Temeke jijini Dar es Salaam.(PICHA NA ANNA NKINDA)
Loading...

No comments: