JULIUS KALANGA AREJEA TENA BUNGENI, SAFARI HII KUPITIA CCM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, September 16, 2018

JULIUS KALANGA AREJEA TENA BUNGENI, SAFARI HII KUPITIA CCMMGOMBEA wa kiti cha ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Monduli Mkoani Arusha kupitia CCM Bw. Julius Kalanga, (pichani) ameshinda kiti hicho baada ya kupata jumla ya kura 65,714 sawa na asilimia 95% huku mpinzani wake wa karibu Yonas Leiserkutoka CHADEMA, akiambulia kura 3187 sawa na asilimia 5.
Kwa mujibu wa msimamizi wa uchagzui jimbo hilo, Bw. Steven Ulaya amesema    chama cha NRA kimeambulia kura 45 sawa na asilimia 0%, DM 35 sawa na asilimia 0%, Wakulima 16 sawa na asilimia 0%, ADA Tadea kura 21 sawa na asilimia 0%, ACT Wazalendo 144 sawa na asilimia 0% na DP kura 34 sawa na asilimia 0%
Loading...

No comments: