KAMERA YA MWANAHARAKATI MZALENDO JIJINI DODOMA

Hiki ni Keep left maarufu kinacho onekana pindi unaingia jijini Dodoma maeneo ya Jamatini
Vikwangua anga navyo vyakutosha Jijini Dodoma hiki kimojawapo
Maeneo ya Historia pia yapo Jijini Dodoma
Hauna haja ya kujiuliza wapi utapata kutazama TBC1 muda wowote, ukiwa jijini Dodoma jibu lako ni moja tu fika Nyerere Square masaa 24 utaweza tazama Runinga kama inavyo onekana hapa mchana peupe
Hapa ndio nyerere Square kama unavyo ona kila mtu yupo bize kupata kumbukumbu yake hata watoto wamo.
Picha na Fredy Njeje/ Mwanaharakati Mzalendo

Post a Comment

0 Comments