Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Dodoma Mjini
ambaye pia na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati
alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kushuhudi mechi ya
kirafiki kati ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC, Septemba 16, 2018.
Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rashidi
Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC na Bruno John wa Namungo
FC wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja
wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rashidi
Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC akimiliki mpira huku akizongwa na Bruno
John wa Namungo FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja
wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Zahoro
Pazi wa timu ya Dodoma FC (kulia) na Luka Kikoti wa Namungo FC
wakiwania mpira katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa
Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na
viongozi wa timu ya Dodoma FC baada ya mechi ya kirafika kati ya timu
hiyo na Namungo FC ya Ruangwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na
viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma
FC baada ya mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na
viongozi wa timu ya Namungo FC ya Ruangwa baada ya mechi ya kirafiki
kati ya timu hiyo na Dodoma FC iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri
jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment