MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MJINI KIGOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, September 9, 2018

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MJINI KIGOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi,na Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako  mara baada ya kuwasili kwenye Kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika, Mwanga, Kigoma kwenye sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste Motomoto Askofu Ezra Enock Mtamya  mara baada ya kuwasili kwenye Kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika kwenye sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo.
Loading...

No comments: