MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, September 21, 2018

MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.
Loading...

No comments: