MFAHAMU BWANA MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, September 17, 2018

MFAHAMU BWANA MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA

Bw. Maher Albarwani (aliyevaa kofia) akiwa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Urithi Festival.
Hii ndio Pikipiki aliyosafiri nayo Bw. Maher Albarwani kutoka Oman mpaka Tanzania akipita nchi mbalimbali Duniani

Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo(kushoto) akiwa na Bw. Maher Albarwani wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Urithi jijini Dodoma 
Mdau wa mambo ya Utalii Bw. Festo Mazuguni (Kushoto) akiwa na Bw. Maher Albarwani uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Kutoka kushoto ni Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo, Bw. Maher Albarwani aliye safiri na pikipiki kutoka Oman mpaka Tanzania na Naomi Mbilinyi ambaye ni Afisa Utalii kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakiwa katika Banda la Utalii.
Picha na Fredy Njeje/Mwanaharakati Mzalendo
Loading...

No comments: