RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU.SEPTEMBA 8,2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, September 8, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU.SEPTEMBA 8,2018


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mojawapo ya wgonjwa aliyepumzishwa katika chumba cha mapumziko katika hospitali mpya ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu mara baada ya kuifungua rasmi hospitali hiyo,Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi mara baada ya kuifungua rasmi hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.  Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
. PICHA NA IKULU
Loading...

No comments: