RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA ITILIMA NA KISESA MKOANI SIMIYU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, September 9, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA ITILIMA NA KISESA MKOANI SIMIYU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Meatu mkoani humo. Picha na Ikulu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu wakati akiwa njiani kuelekea Meatu mkoani humo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mwankoli(hawaonekani pichani) katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu. Picha na IKULU
Loading...

No comments: