RAIS MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MEATU MKOANI SIMIYU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, September 9, 2018

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MEATU MKOANI SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa  Meatu mjini mkoani Simiyu mara baada ya kuwasili wakati akitokea Bariadi.
 Sehemu ya Wananchi wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza  katika viwanja vya Meatu mjini.
Loading...

No comments: