TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, September 21, 2018

TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, akimtunza pesa msanii wa muziki wa kizazi kipya Hip Hop akapela, Meshack Ngemela, aliyetoa burudani katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hip Hop akapela, Meshack Ngemela, akitoa burudani katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hip Hop akapela, Meshack Ngemela, akighani mashairi ya akapela huku akipongezwa na Machief wa Mkoa wa Mbeya waliohudhuria katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)

Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Songela, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)
Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Kawetele, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Ditto, akiimba jukwaani na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)
Loading...

No comments: