wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA
Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la
ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga kuhusu changamoto zinazowakabili
wanawake kwenye kumiliki ardhi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa YDC
Jijini Tanga ukihusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali ulioandaliwa na
chama hicho
Mratibu
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa
Ayoub kulia akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la
ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga
kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi kushoto
ni Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo ambapo mdahalo huo
uliandaliwa na chama hicho
Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo akisisitiza
jambo kwenye mdahalo huo
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Tanga Doris Wilson
Mangwe akizungumza katika mdahalo huo
MWANASHERIA
wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika Sigisbert
Akwilini akiwa na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo ambao
uliandaliwa na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) mkoani
Tanga
Madiwani
wa Kata za Chumbangeni Saida Gadafi CCM) kushoto akiwa na Diwani wa
Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku wakifuatilia mdahalo huo
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani
Tanga Sigisbert Akwilini akichangia kwenye mdahalo huo
Afisa Mipango wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga Rehema
Akida akizungumza katika mdahalo huo
Afisa Mtendaji wa Kata ya Mabokweni Salim Mdoe akizungumza
katika mdahalo huo
Afisa Mtendaji wa Kata ya Masiwani Jijini Tanga Sheria
Salame akizungumza katika mdahalo huo
Baadhi ya wadau wa mdahalo huo wakizungumza
Mwansiti Bashiru kutoka kata ya Mbaramo wilayani Muheza
akizungumza katika mdahalo huo
Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku
No comments:
Post a Comment