BALOZI SEIF AZINDUA KITUO CHA TAIFA CHA KUWAHUDUMIA WALEMAVU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 8, 2018

BALOZI SEIF AZINDUA KITUO CHA TAIFA CHA KUWAHUDUMIA WALEMAVU


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikizindua Rasmi Kituo cha Watu wenye Ulemavu wa Jimbo la Shaurimoyo kilichojengwa pembezoni mwa Skuli ya Sekondari ya Ufundi Mikunguni Mjini Zanzibar. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud.
 Blozi Seif na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud wakishangiria kwa kupiga kofi mara baada ya akikizindua Rasmi Kituo cha Watu wenye Ulemavu wa Jimbo la Shaurimoyo.
 Balozi Seif akiangalia na kufurahia bidhaa zinazozalishwa na Watu wenye Ulemavu wa Jimbo la Shaurimoyo ndani ya Kituo kipwa alichokizindua rasmi.
Loading...

No comments: