KAMATI YA UONGOZI YA CHAMA CHA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA(CPA-AFRIKA) MJINI ZANZIBAR - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, October 5, 2018

KAMATI YA UONGOZI YA CHAMA CHA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA(CPA-AFRIKA) MJINI ZANZIBAR

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), (Wa kwanza kushoto) na Ujumbe wake ambao ni Kamati ya Uongozi ya Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika(CPA-Afrika) waliokwenda kumtembelea leo Ikulu Zanzibar. Wa pili kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid, Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mheshimiwa Edda Mukabagwiza na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
  Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb) (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mheshimiwa Edda Mukabagwiza (kulia) mara baada ya kuzungumza nao Ikulu Zanzibar.
Loading...

No comments: