Kinyang'anyiro cha kumsaka Tigo Fiesta Supa Nyota mjini Iringa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 8, 2018

Kinyang'anyiro cha kumsaka Tigo Fiesta Supa Nyota mjini Iringa

 Majaji wa shindano la kusaka wasanii wenye vipaji Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Iringa wakiongozwa na Adam Mchomvu(wapili toka kulia) wengine toka kushoto ni Rodgers Eight, Lord Eyes na kulia Joh Makini mchuano uliofanyika leo mjini Iringa
Wasanii walioingia Tano Bora wakiwa kwenye picha ya pamoja na chief judge Adam Mchomvu.

Wasanii wawili walipita kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2018 mkoani Iringa Ester Queen na TTP ambao itawabidi wapande Leo usiku kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kupata mshindi atayeiwakilisha Iringa

Loading...

No comments: