MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA MCHAPALO NA WADAU WA UTALII - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, October 19, 2018

MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA MCHAPALO NA WADAU WA UTALII


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wadau wa utalii katika mchapalo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale katika hoteli ya Park Hyatt Zanzibar jana jioni tarehe 17, Oktoba 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wadau mbalimbali wa utalii katika mchapalo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale katika hoteli ya Park Hyatt Zanzibar jana jioni tarehe 17, Oktoba 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Loading...

No comments: