MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, October 6, 2018

MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

 Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Pamela Pallangyo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo mbele ya Makatibu Kamati katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma
Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ndg. Grace Bidya akiteta jambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati mbele ya Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kamati za kudumu za Bunge, Ndg. Athuman Hussein (katikati) akizungumza na Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati, katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ndg. Grace Bidya na kulia ni Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Pamela Pallangyo

Mkurugenzi Msaidizi Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Dickson Bisile akizungumza na Makatibu Kamati wakati wa kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Ndg. Hosiana John
Loading...

No comments: