Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara kupatikana usiku wa leo - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 15, 2018

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara kupatikana usiku wa leo


.com/proxy/
Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Young Ney akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara.
.com/proxy/
Majaji wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki waliofika tano Bora 
.com/proxy/ 
Msanii Farid Kubanda Fid Q(katikati) akiwa kwenye majukumu ya kufanya mchujo
.com/proxy/
Meza kuu ikiwa kwenye zoezi la mchujo wa kumpata mwakilishi wa Mtwara, kutoka kushoto, Mshindi wa Tigo Supa Nyota 2017, Maarifa Mac, Adam Mchomvu, Fid Q na Edgar Mzoka a.k.a Smarter
.com/proxy/
Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Duka la Tigo Mtwara leo
Loading...

No comments: