NAIBU WAZIRI MHE. JAPHET HASUNGA AONYA UKATAJI MITI OVYO MKOANI SONGWE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, October 19, 2018

NAIBU WAZIRI MHE. JAPHET HASUNGA AONYA UKATAJI MITI OVYO MKOANI SONGWE


 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza  na wananchi kuhusu athari za ukataji miti ovyo  kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Isalalo kata ya Wasa wilayani Mbozi katika mkoa wa Songwe.

 
Baadhi ya Watendaji aliokuwa ameongozana nao katika mkutano huo wa hadhara katika kijiji cha Isalalo.

 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akimsikiliza huku akiwa anaandika swali analoulizwa na zungumza Ester Mwakanja kuhusiana  athari za ukataji miti ovyo  kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Isalalo kata ya Wasa wilayani Mbozi katika mkoa wa Songwe.

 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akisoma  karatasi  katika mkutano wa hadhara ulioufanya katika kijiji cha Isalalo kata ya Wasa wilayani Mbozi katika mkoa wa Songwe

Loading...

No comments: